dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, February 22, 2020

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MADAKTARI KITAIFA MWAKA 2020 JIJINI DAR ES SALAAM!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya Madaktari Kitaifa Mwaka 2020 katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataiafa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 20, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya Madaktari Kitaifa Mwaka 2020 katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataiafa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 20, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya Madaktari Kitaifa Mwaka 2020 katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataiafa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 20, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Tuzo Maalumu.....katika kutambua mchango wake mkubwa katika tasnia ya afya wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 20, 2020. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mhe. George Mkuchika, Naibu Waziri wa Afya Dkt Faustine Ndugulile, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Zainabu , Mlezi wa Chama cha Madaktari (MAT) Profesa Lawrence Maseru na Rais wa MAT Dkt. Elisha Osati
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Tuzo Maalumu Ofisa Tabibu Wilson Koweli Chota Mganga kutoka kijiji cha Uturo, Mbalali, Mbeya, katika kutambua mchango wake mkubwa katika tasnia ya afya wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 20, 2020. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mhe. George Mkuchika, Naibu Waziri wa Afya Dkt Faustine Ndugulile, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Zainabu , Mlezi wa Chama cha Madaktari (MAT) Profesa Lawrence Maseru na Rais wa MAT Dkt. Elisha Osati
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokeTuzo Maalumu aliyokabidhiwa na Chama Cha Madaktari Tanzania (MAT) kwa kutambua mchango wake Mkubwa katika sekta ya Afya nchini toka kwa Rais wa Chama hicho Dkt. Elisha wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 20, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia Tuzo Maalumu aliyokabidhiwa na Chama Cha Madaktari Tanzania (MAT) kwa kutambua mchango wake mkubwa katika sekta ya afya nchini huku Naibu Waziri wa Afya Dkt. Faustine Ndugulile akishangilia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 20, 2020. ( PICHA NA IKULU)

1 comment :

  1. If you're attempting to burn fat then you need to get on this totally brand new custom keto plan.

    To produce this keto diet, certified nutritionists, fitness trainers, and top chefs have joined together to develop keto meal plans that are effective, suitable, cost-efficient, and fun.

    Since their grand opening in early 2019, 100's of individuals have already completely transformed their figure and health with the benefits a certified keto plan can give.

    Speaking of benefits: in this link, you'll discover 8 scientifically-certified ones provided by the keto plan.

    ReplyDelete