Serikali za Tanzania,Burundi na Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC) zimekubaliana kwa kujenga reli ya kisasa (SGR) kutoka Uvinza mkoani Kigoma kupitia Musongati na Gitega nchini Burundi mpaka Uvira na Kindu nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment