dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, March 15, 2020

UCHAGUZI - ACT WAZALENDO!


Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Taifa wamemchagua Mwami Ruyagwa Kabwe Zitto Zuberi kuwa KIONGOZI WA CHAMA kwa kura. 276 sawa na asilimia 73.6%

Ismail Jussa Ladhu amepata kura 91 sawa na asilimia 24.2%
Kura 8 zimekataliwa 

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Taifa wamemchagua Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa kwa kura 337 sawa na asilimia 93.35%

Yeremia kulwa Maganja amepata kura 20 sawa na asilimia 5.55%

Shilungushela KAHEZA NYANGAKI amepata kura 4 sawa na asilimia 1.10%

Kura zilizokataliwa 2

Maharagande.

No comments :

Post a Comment