Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, April 9, 2020

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME AFISI KUU YA CCM ZANZIBAR.!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Kassim Majaliwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wac Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, Rais Mstaaf wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Amani Karume na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fahil Omar Nondo,wakiwa katika viwanja vya kaburi la marehemu Mzee Abeid Amani Karume. Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,wakati Kiongozi wa Dini Madhehebu ya Hindu Zanzibar.Pramuk Yoges akimuombea katika hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya kaburi la marehemu Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo.7/4/2020.(Picha na Ikuklu) 
RAIS Mstaaf wa Zanzibar Zanzibar Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria hafla ya Dua Maalum ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliofanyika leo katika viwanja vya kaburi, akiwa ongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Kassim Majaliwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wac Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, Rais Mstaaf wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Amani Karume na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fahil Omar Nondo,wakiwa katika viwanja vya kaburi la marehemu Mzee Abeid Amani Karume. Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,wakati Kiongozi wa Dini Madhehebu ya Hindu Zanzibar.Pramuk Yoges akimuombea katika hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya kaburi la marehemu Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo.7/4/2020.(Picha na Ikuklu) 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa baada ya kumalizika kwa hafla ya Dua Maalum ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliofanyika katika viwanja vya kaburi la marehemu katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment