Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Mhandisi Marwa Mwita Bubirya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20,
2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Dkt Aloyce Nzuki kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na
Utali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai
20, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Mhandisi Anthony Sanga kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20,
2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Dkt. Seif Shekilage kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt Allan Kijazi kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Nadhifa Kemikimba kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Minyi Talib Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia viongozi mbalimbali aliowateua wakila viapo vya maadili vya uongozi kwenye Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Jumatatu Julai 20, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Joachim Wangabo akimuapisha Bw. Colarius Constantine Misungwi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo kwenye Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Jumatatu Julai 20, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge akimuapisha Bw. Mussa Ramadhani Chogelo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala kwenye Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Jumatatu Julai 20, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel akimuapisha Bw. Fadhili Mohamed Juma kuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita kwenye Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Jumatatu Julai 20, 2020
Viongozi walioapishwa wakitia saini hati za Viapo vya Maadili ya Viongozi kwenye hafla iliyofanyikia Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Julai 20, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza viongozi mbalimbali aliowaapisha kwenye Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Jumatatu Julai 20, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka akimuapisha Bw. Aswege Enock Kamichonge kuwa Mkuu wa Wilaya ya Maswa kwenye Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Jumatatu Julai 20, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu Wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi John Kijazi, Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi Dkt. Laurian Ndumbaro, Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga na Dkt Laurian Ndumbaro wakiwa na viongozoi mbalimbali walioapishwa
kwenye Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Jumatatu Julai 20, 2020
Viongozi walioapishwa wakila viapo vya Maadili ya Viongozi kwenye hafla iliyofanyikia Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Julai 20, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghirwa akimuapisha
Dkt. Athumani Juma Kihamia kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rombo kwenye Hafla
iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Jumatatu Julai 20, 2020
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment