dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, July 26, 2020

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN NA MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA WASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZI YA MZEE MKAPA JIJINI DAR ES SALAAM!

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini kitabu cha maombolezi ya Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu  wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu.Benjamin William Mkapa, alipofika nyumbani kwake Mtaa wa Masaki Jijini Dar es Salaam leo 25/7/2020.kutowa mkono wa pole kwa Familia ya marehemu.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimia Mke wa Marehemu Mzee Mkapa. Mama Anna Mkapa, alipofika nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Masaki kutowa mkono wa Pole kwa Familia kutokana na Kifo cha hafla cha Rais Mstaaf wa Awamu wa Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, na (kushoto kwa Mama Anna)  ni Mtoto wa Marehemu Nico Mkapa.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mke wa Marehemu Mzee Mkapa Mama Anna Mkapa, alipofika nyumbani kwao mtaa wa Masiki Jijini Dar es Salaam, kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu leo 25-7-2020 na kushoto kwa Mama Anna ni Mtoto wa marehemu Nico Mkapa.(Picha na Ikulu)  
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Jijini Da es Salaam, baada ya kusaini Kitabu cha maombolezi ya Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa, alipofika nyumbani kwa marehemu mtaa wa Masaki Jijini Dar es Salaam leo 25/7/2020, kutowa mkono wa pole kwa familia.(Picha na Ikulu)  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanmia Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha Rais Msataafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa alipofika nyumbani kwa Marehemu Masaki Jijini Dar er salaam leo Julai 25, 2020 kwa ajili ya kuifariji Familia ya Marehemu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanmia Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimfariji Mjane wa Rais Msataafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa Mama Anna M

No comments :

Post a Comment