MSHINDI KIGAMBONI ATANGAZWA
NDUGULILE!
SHANGWE ZATAWALA
MAKONDA ASHINDWA JIMBO LA KIGAMBONI!
- Dkt. Faustine Ndugulile ameibuka kidedea kwa kupata kura 190 kati ya 399 na mshindi wa 2 ni Paul Makonda aliyepata kura 122 - Dkt. Ndugulile anaweza kupata nafasi ya kuendelea kuteta Ubunge wa Jimbo hilo

No comments :
Post a Comment