Mkurugenzi mkuu wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema taasisi yake imetengeneza dawa inayosaidia kutibu Coronavid - 19.
Amewataka watanzania watumie dawa ya NIMRCAF inayotengenezwa na taasisi yake.
Prof amesema kwa wale wasioweza kuinunua madukani wanaweza kuitengeneza nyumbani kwa kutumia formula hii;
å Lita 1 ya maji ya moto.
å Kitunguu saumu punje 10 hadi 15.
å Malimao 2.
å Kitunguu maji kikubwa 1.
å Tangawizi size ya kidole gumba 4.
å Pilipili kichaa 5.
Changanya kwa kutumia blender kwa dakika 4 hadi 5. Kisha iache ipoe na uanze kuitumia
#DOZI NI VIJIKO VIWILI(2) VYA CHAKULA KILA BAADA YA MASAA NANE AU SITA#
No comments :
Post a Comment