RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt.Anna Peter Makakala alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katikia ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt.Anna Peter Makakala (kushoto kwa Rais) baada ya kumalizia mazungumzo yao yaliofanyiika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar Johari Masoud Sururu,na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt.Anna Peter Makakala (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar Johari Masoud Sururu.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment