Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, March 20, 2021

RAIS DK.MWINYI ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZI NA KUTOA MKONO WA POLE KWA MJANE WA MAREHEMU MAMA JANETH MAGUFULI!


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt.John Pombe Magufuli,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam leo 19-3-2021.
 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimfariji Mjane wa hayati aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Mama Janeth Magufuli alipofika Ikulu Jijini Dar es Salaam kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoka katika viwanja vya Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam baada ya kusaini kitabu cha maombolezi cha Hayati Dkt. John Pombe Magulili aliyekuwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

(Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment