Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) kuhusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli kilichotokea jana saa 12 jioni katika hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments :
Post a Comment