Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, January 6, 2022

TUMSAIDIE NDUGU YETU DAUD SALUM BOMA WA MAREKANI!


Baada ya video clip ya hapa juu kutoka kwenye channel ya blog la ZanzibarNiKwetu blog limepokea simu kadha kutoka kwa Wa-Tanzania ambao hawaishi Marekeni na ambao wameguswa na hali ya ndugu yetu Daud na wanataka kumsaidia, lakini hawana contacts za Ndugu Daud. Hao ndugu zake na marafiki zake aliowataja kwenye clip pia contacts zao hazijulikani.

Tunakuomba Ndugu Daud uache hapa contacts zako ili wasamaria wema wapate kutabaruku.

Pia, blog limeulizwa kama Ndugu Daud unataka msaada ili uendelee kukaa Marekani au unataka msaada ili urudi nyumbani?
Kama utaendelea kukaa Marekani, Wana-blog wanakuuliza msaada gani utakuwezesha kujikimu kila mwezi?

Ndugu Daud alikuwa na maisha ya kujitegemea, lakini yaliyomkuta hivi sasa yoyote kati yetu yanaweza kumfika na kwahivyo ni wajibu wetu kumsaidia ndugu yetu!






1 comment :