dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, September 26, 2022

TANGAZO: WIZARA YA AFYA NA TAASISI YA MARADHI YA MOYO ZANZIBAR!

Tangazo

Wizara ya Afya zanzibar ikishirikiana na Taasisi ya Maradhi ya moyo Zanziba

Inawakaribisha wananchi wote katika maadhimisho ya siku ya Moyo duniani Alhamis tarehe 29/9/2022 yatakayoanza kwa matembezi ya miguu kuanzia uwanja wa mnazi mmoja hadi mnara wa kisonge (Mapinduzi square) kuanzia saa kumi na mbili kamili za Asbhi.

Baada ya matembezi hayo kutakuwa na huduma za upimwaji wa Afya na matibabu buree! kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa nane mchana

Mgeni Rasmi katika maadhimisho hayo anatarajiwa kuwa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mhe Hemed Suleiman Abdulla.

Shime wananchi mnaombwa kuhudhuria kwa wingi.

Ahsanteni nyote mnakaribishwa.

Mtu ni Afya

Tumia moyo kwa kila moyo wa mtu.

No comments :

Post a Comment