zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, November 11, 2026

AFANYA UHARIBIFU MKUBWA BAADA YA KUDHULUMIWA!

Mtu
aliyekuwa akifanya kazi katika kampuni ya kichina nchini afanya uharibifu mkubwa wa mali za mchina. Inasemekana kuwa Mtanzania huyu kudhulumiwa pesa zake ambazo zilikuwa ni malipo ya kazi yake aliyoifanya kwa mchina huyo ambazo ni mishahara ya miezi mitatu. 

Kila alipodai boss wake alimjibu kuwa atamlipa atakapojisikia na kuwa hana cha kumfanya. Mwisho wa siku jamaa ndo kaamua kumuonesha kuwa anacho cha kufanya kama tunavyoona kwenye video. 

Hii ni mtu kuchukuwa sharia mikononi mwake. Hata kama ni kweli kuwa kadhulumiwa lakini ilibidi aende kwenye vyombo vya sharia na sio kuchukuwa hatua mikononi mwake. 

Wengi wanadhulumiwa, lakini kila mtu akichukuwa hatua mikononi mwake, hivyo hii yetu itakuwa nchi au itakuwa vurugu tupu?


No comments :

Post a Comment