
Rais Jakaya Kikwete (wa pili kushoto), alimpotembelea kumjulia hali Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi, katika Kitengo cha Uangalizi Maalumu (ICU) MOI jana baada ya kushambuliwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi nyumbani kwake eneo la Kibamba, nje kidogo ya Jiji usiku wa kuamkia jana. Kulia ni mkewe, Mama Salma, wa pili kulia ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia na kushoto ni daktari wa hospitali hiyo.
No comments :
Post a Comment