Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, December 9, 2013

Maadhimisho ya Miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwapungia mkono wananchi alipowasili katika viwanja vya Taifa kuhudhuria miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania yaliofanyika katika uwanja huo leo 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisimama wakati ukipingwa wimbo wa Taifa alipowasili katika viwanja vya sherehe ya Uhuru leo asubuhi.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua bwaride la Kikosi cha Jeshi la i.
Rais Kikwete akikagua Kikosi cha Jeshi la Anga, wakati wa maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania. 
Viongozi wa Jukwaa Kuu wakisimama wakati ukipingwa wimbo wa Taifa, katika sherehe za miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania kutoka kushoto Jaji Mkuu wa Zanzibar,Mhe. Othman Makungu, Makamu wa Rais waJamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Sita Dkt. Amani Abeid Karume na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakihudhuria sherehe hizo katika uwanja wa Taifa Mjini Dar-es-Salaam.

Rais wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, alipowasili jukwaa kuu kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tainzania.





Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment