AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, December 10, 2015

Wananchi na Vikosi vya Ulinzi Pemba Walivyojumuika katika Usafi Kuadhimisha Miaka 54 ya Uhuru jana!

Afisa Mdhamini Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala bora Pemba, akizungumza na wafanyakazi wake mara baada ya kumaliza kazi ya kufanya usafi huko ofisini kwake Kibirinzi Chake Chake Pemba 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa kusini Pemba, Sheikhan Mohamed Sheikhan akifanya usafi katika hospitali ya Chake Chake, baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, kutangaza kuwa ni siku ya Usafi disemba Tisa mwaka huu
 Baadhi ya watendaji wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, wakifanya usafi katika wodi ya wagonjwa wanaume katika hospitali ya Chake Chake Pemba
 Baadhiya akina mama wakiwa na wagonjwa wao nje ya hospitali ya chake chake wakisubiri kuingia ndani, baada ya kumalizika kwa kazi ya usafi katika hospitali hiyo, unaofanywa na vikosi vya Ulinzi na usalama Mkoa kusini Pemba. 
 Wafanyakazi wa Baraza la mji Chake Chake wakifanya usafi katika ofisi yao, mara baada ya kuitikia wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Mgufuli, kuwa disemba Tisa ni siku ya usafi tu
 Wapiganaji wa Jeshi la wananchi wa Tanzanzia kisiwani Pemba, wakifanya usafi katika hospitali ya Chake Chake Pemba, kufuagizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli, kuwa Disemba Tisa mwaka huu ni siku ya Usafi tu
 Baadhiya Vitanda vya wodi ya wazazi katika hospitali ya Chake Chake Pemba, vikiwa nje kufuatia wodi hiyo kufanywa usafi na wapiganaji wa jeshi la Wananchi wa Tanzania kisiwani Pemba.
Wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria Pemba, wakifanya usafi mbele ya ofisi yao mijini Chake Chake kama walivyokutwa na Mpiga picha.
(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments :

Post a Comment