Rais wa chama cha mawakala wa forodha (Taffa) Steven Ngatunga amesema Serikali imedangwa kuhusu suala la kuzisimamisha kampuni 283 kufanya kazi katika bandari ya Dar es salaam kwanai ufisadi uliofanyika unaihusisha moja kwa moja menejimenti ya bandari pamoja na vyombo vya fedha yaani benki.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment