Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, February 16, 2016

Zoezi la Udhibiti wa Uingiaji wa Magari Mji Mkongwe Laaza Rasmin katika Barabara hizo.

Zoezi la kudhibiti uingiaji wa magari katika Mji Mkongwe wa Zanzibar laaza kazi katika barabara hizo zilioko katika Mji Mkongwe kwa kuziweka kuwa njia moja kwa kwenda tu.Hii ni moja ya barabara hizo ilioko katika eneo la mzunguko wa barabara ya kuingia bandarini kwenda forodhani tayari limeaza kutumia na kupunguza msongamano wa magari katika eneo la kuingia katika bandari eneo la abiria wa boti za kwenda Dar kama linavyoonekani pichani likiwa katika hali ya utulivu wa msongamano wa magari kama lilivyozoeleka hapo awali.



/ZanziNews.

No comments :

Post a Comment