Top Leaderboard Advert

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

High class shops @ Fuoni

High class shops @ Fuoni

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Adsense Marquee

Sunday, August 21, 2016

NENDA ZANZIBAR BURE KUHUDHURIA KONGAMANO LA DIASPORA!Wanakaribishwa watu wote kuenda Zanzibar kuhudhuria kongamano pale Zanzibar Beach Resort Hotel (Mazizini) na Azam Fast Ferries kama wadhamini watakupeleka na kukurudisha kutoka Dar Es Salaam bila ya malipo.

Ni Ijumaa 23/8.

Boti ya saa kumi jioni.

Kuripoti ni saa tisa na nusu alasiri.

Safari ya kurudi ni Ijumaa 26/8 saa tatu asubuhi.
Mwisho wa kujiorodhesha ni Jumatatu, Agosti 22, saa sita mchana.

Kama unataka kusafiri na boti kwa ofa ya usafiri wa bure wa Azam Fast Ferries, basi, jiorodheshe kwa kutuma email kwenye anwani zote mbili zifuatazo:


Kwa maelezo juu ya kongamano, tembelea tovuti hili hapa chini:


No comments :

Post a Comment