Ajali mbaya ya kusikitisha imetokea Mpanda kuelekea Sumbawanga. Kwenye corner dereva aliekuwa akiendesha gari kwa kasi kubwa ilimshinda na akawavamia ngo'mbe 3. Ngo'mbe mmoja alirushwa juu ya gari kama inavyoonekana hapa chini. Wote ngo'mbe 3 walifariki, lakini kwa bahati nzuri wachungaji walisalimika salama.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************




No comments :
Post a Comment