Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Monday, November 25, 2019
ZIRPP monthly lecture: Embe - Zao Mbadala la Kuipatia Zanzibar Fedha za Kigeni!
Dear Members and Friends,
I have the great pleasure to inform you that there will be another ZIRPP monthly lecture this month.
Chairperson: Mr. Muhammad Yussuf;
Speaker: Mr. Rafii Makame;
Subject: “Embe: Zao Mbadala la Kuipatia Zanzibar Fedha za Kigeni”;
Date and Time: Saturday 30 November 2019; at 4.00pm;
Venue: ZIRPP Conference Room, at Vuga (behind Majestic Cinema).
DHAHANIA (ABSTRACT): Katika kipindi cha miongo mitatusasa, wafanyabiashara na wakulima wakati katika Visiwa vya Unguja na Pembawametupilia mbali usafirishaji wamatunda nje ya nchi na hivyo kukosekana kwa mzunguko muhimu wa kifedha na kiuchumi nchini Zanzibar.
Kwa muktadha huo, ifahamike kuwa mapema mnamo miaka ya1860 hadi miaka ya 1890, wakulima wadogo na wa kati walifanya majaribio mbalimbali ya mazao ya miti ya mizizi na matunda kwa madhumuni ya kutafuta mazao mbadala ya biashara kwa soko la nje badala ya karafuu ili kukidhimahitaji wa watu wa Zanzibar.
Mtoa mada katika mjadala huu, atajaribu kufanyatathimini ya kiuchumi na kifedha kuhusiana na zao la embe kwa wakulima na wafanyabiasharawa kati katika visiwa vya Unguja na Pemba kwa mtazamo wa mzunguko wa kifedha ili kupata uwiano mzuri wa taarifa kadiriiwezekanavyo, huku zao la embe likilinganishwana zao la karafuu ambalo, kwa muda mrefu, limekuwa ni muhimu kwa ustawi wa kiuchumi na kijamii katika maeneo teule ya Visiwa vya Unguja na Pemba, kwa lengo la kuipatia Zanzibar kiasi cha asilimia 20 ya fedha za kigeni.
Kiwango kikubwa cha faida ya zao la embe kinachofanyika bila ya ruzuku ya Serikali Kuu wakati wa uoteshaji miche hadi mavuno, tafautiya bei na gharama nyenginezo, na haja ya kuwa na mazingatio kuwa ukulima wa embe unaweza kutoa fursa ya maendeleo endelevu kwa baadhi ya maeneo ya Unguja na Pemba, kwa vile kuna mazingira mazuri ya hali ya Ardhi inayoweza kuzalisha zao hilo kwa wingi na ubora unaotarajiwa kwa soko la nje kwa kiwango sawa na karafuu.
Tea, Coffee, Snacks and soft drinks will be served freely.
Please forward this message to anybody who may be interested. Those who would like to attend should send their email addresses and telephone numbers to:
zirpp@googlegroups.com. Please confirm your participation. You may bring one or two friends with you. All are welcome.
Sincerely,
Muhammad Yussuf
Executive Director
Zanzibar Institute for Research and Public Policy
P.O. Box 4523
Zanzibar
TANZANIA
Tel: 0777 707820 Cellular
Tel: 0242 233526 Office
Email: yussufm@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

No comments :
Post a Comment