dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, January 15, 2022

The Abu Ubaydah Islamic Center's JANAZAH SUPPORT SYSTEM!

Baada ya Muandishi wa mambo ya jamii wa blog hili la ZanzibarNiKwetu kuandika wiki iliyopita juu ya program mpya iliyoanzishwa na Wazanzbari waishio jijini Toronto katika province ya Ontario, Canada, blog limekuwa likipokea kila siku emails na simu za Wazanzibari na Waislamu wengine wanaotaka kujua zaidi juu ya hii program.

Kwavile ZanzibarNiKwetu sio msemaji wa hii program, tunawaomba wote wale waliotuuliza masuala kutembelea website ya program hii ambayo inapatikana hapa: www.abuubaydah.org

Maelezo yakutosha yenye kujibu masuala yote yanapatikana kwenye hii website na kama mtu hajatosheka basi kwenye website pia zipo contact info za wale wote wanaohusika moja kwa moja na hii program na ambao definitely watakuwa more than happy to answer all your querries!

Wabillahi towfique!

https://zanzibarnikwetu.blogspot.com/2022/01/zanzibaris-in-canada-have-come-out-with.html

Join the smart Zanzibaris @ https://www.patreon.com/zanzibarnikwetu



No comments :

Post a Comment