Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, August 24, 2012

WHO IS WHO????
ABDALAH HAMIS OR MOBHARE MATINYI?
Katika mvutano wa maneno huko kwenye ukumbi wa Wanabidii yule anaeitakia vita nyengine Tanzania juu ya ugomvi na Malawi (kwasababu alikuwa nje masomoni siku za vita na Nduli Iddi Amin) Bw. Mobhare Matinyi amejibu mapigo aliyoyapata yeye binafsi na wenziwe kutoka kwa Rais Kikwete ambae haioni vita kuwa inaweza kuleta manufaa yoyote katika jambo lolote lile katika dunia ya leo.
Bw. Matinyi akikanusha kule ukumbini kwa Wanabidii kuwa hana jina la uandishi wala la utani, bali hutumia jina lake kamili aliwaangusha Wanablog wa ZANZIBAR NI KWETU kwa vicheko pale alipojibu yale mapigo dhidi yake kwa kutumia jina la bandia la kizanzibari la Abdalah Hamis.
Bw. Matinyi kasahau kuwa hakuna hata Mzanzibari mmoja anaejiita Abdalah. Ni either Abdalla au Abdallah na ni Khamis na sio Hamis.
Lakufurahisha ni kuwa katika majibu yake Bw. Matinyi amebadilisha maneno/msimamo wake baada ya kuona kuwa yale maneno yake ya kabla ya kutaka kuivamia Malawi bila hata mazungumza kuanza ilikuwa ni jazba ya vilabuni.


Bw. Matinyi ameeleza kwenye majibu yake kuwa..."nilichokieleza kinapaswa kuangaliwa katika muktadha wake, kwamba, iwapo Tanzania itanyimwa haki yake, na kuthibitika kwa njia zote kwamba imeporwa sehemu ya ziwa, basi italazimika kupigana na hili ni jambo linaloungwa mkono na sheria za kimataifa." Bw. Matinyi kama tokea mwanzo angeliandika maneno matamu kama haya basi Wanabidii wote wangelikuwa nyuma yake. Lakini, alichokiandika yeye mwanzo kilikuwa ni kiburi kilichosababishwa na eti jeshi letu kuwa kubwa kuliko la Malawi na kwahivyo tungeliweza kuifyeka Malawi kwa dakika moja kama tulivyoifyeka Uganda enzi za Nduli. Bw. Matinyi amesahau kwamba kuwa na jeshi kubwa haina maana yoyote ile in today's electronic warfare.
Maneno aliyoyaandika Bw. Matinyi kuwa...."Quarelling with Tanzania is not smart considering many factors especially its military capability" ni ya kijeuri kuandikwa kwenye gazeti linalo heshimika kama The Citizen. Hivyo Bw. Matinyi kama umeny'ang'anywa haki yako utaogopa kuipigania kwasababu mgomvi wako ni jipande la baba? Kama ni jipande la baba sio utaita marafiki wakusaidie? Au Bw. Matinyi hujawahi utotoni kupigwa konzi na watoto wakubwa na baadae ukaita rafiki zako kuja kukusaidia?
Hata rafiki yako Bw. Matinyi ambae mwanzo tulidhania ni kutoka Kenya kumbe ni Mtanzania halisi mia juu ya mia (namuomba radhi kwa kosa hili) aliweka wazi msimamo wa Watanzania wengi pale alipoandika..."You may have a good point but your conclusion is very outdated. You talk about invasion of another country, and restore or impose a sensible leadership? On whose interests anyway and who pays the bill for the so called invasion? How sure are you that after the invasion you will have a sensible leadership in Malawi that will listen to you?"
Indeed Bw. Mgamba was right. To me it's not only your conclusion that is outdated, but your whole way of thinking Bw. Matinyi is outdated and too colonial (too imposing).
As an intelectual and a popular columnist, Bw. Matinyi, you do need to apologize to us all for the crude language you used. Any wise person would admit that he over-reacted!
Kuhusu Zanzibar, Bw. Matinyi, sioni kitu gani kitakuzuwia kuivamia Unguja kama Wazanzibari wakiamua vyengine. Kwa mambo yanavyokuenda karibu naona Wazanzibari wataamua hivyo vyengine na kwahivyo bora ukae tayari na hayo majeshi yako ya uvamizi!
Anyway, the truth is that: we did make a mistake. We should not have waited this long for the emergence in Malawi of a sensible leader. Take it from me Bw. Matinyi - there will be no sensible leader from that country on this issue. This issue should have been dealt with and solved 50 years ago - even if it would have meant going to war then! But, as we  often say, it is pointless to cry over spilt milk!
Bw. Matinyi, make no mistake about it - when push comes to shove and war is inevitable, we will as before stand shoulder to shoulder defending the borders of this country!

Na Geo Kimbi /Wagagagigikoko News Network (Wanene)


No comments :

Post a Comment