RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.
Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha baadhi ya Watendaji
Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar aliowateua hivi karibuni. Mmoja wao akiwa ni Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano.
Huyu ni mwenye kazi nzito sana hasa baada ya msururo wa meli za ZNZ kuzama.
TUNAMTAKI KAZI YAKE NZITO
IWE
NYEPESI!
Dk.Juma Malik Akili,
Katibu Mkuu Wizara ya Miundimbinu na Mawasiliano
No comments :
Post a Comment