Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika
ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu
wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika
ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu
wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana
na wakongwe wa UWT katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini
Dodoma baada ya kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa
Wanawake Tanzania (UWT)
PICHA NA IKULU
Chanzo: Mjengwa
No comments :
Post a Comment