Wednesday, October 24, 2012
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,
pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Dk.Ali Mohamed Shein,
akimpongeza Mwenyekiti Mpya wa Umoja wa Vijana UVCCM,
Khamis Sadifa Juma, baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo,
wakati alipofika kufunga Mkutano Mkuu wa nane (8) wa Jumuiya
hiyo iliomalizika jana katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango
Nje ya Mji wa Dodoma
Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Mboni Mohamed Mkita ashinda pia,
Picha na Ramadhan Othman, Dodoma
Chanzo: ZanziNews
No comments :
Post a Comment