Mh Mansoor Yussuf Himid amewataka baadhi ya watu kutokuwa wepesi kwa
kuwanyooshea vidole wenzao kwa sasa ni wakati wa kuzungumza kweli tena
bila ya uwoga hasa katika mustakbali wa wazanzibar na nchi yao.

Amesema wanaosimama na kusema hadharani kuwa mkiutaka msiutake
muungano ndio huu huu kuwa wanakosea kwani hakuna mwenye haki ya
kumlazimisha mtu juu ya anachokitaka mwenyewe.

ni kwenda mbele na sio kurudi tena nyuma na amewaomba viongozi
wenzake kuwa ni mabalozi juu ya hili kufikisha ujumbe kwa wengine
wasiojua nini cha kufanya kwa sasa juu ya nchi yao ili waweze kuungana
na wazanzibari wanaotaka kupumua na muungano huu.

Pia amesema yeye haoni tatizo kwa mwananchi kutoa maoni yake
anayoyataka juu ya muungano anaoutaka mwenyewe.

Amewataka wananchi kutokuvunjika moyo na wajitokeze kwa wingi
sana kutoa maoni yao wakati wa tume ya kukusanya maoni itakapopita
waende kwa wingi sana kwenye mchakato wa kutoa maoni muda
utakapofika ili waweze kuikomboa Zanzibar yao.

Stori kwa hisani ya Hamed Mazrui via Face book
Source: Mapara
Source: Mapara
No comments :
Post a Comment