Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, October 16, 2012

SABABU YA SHEIKH PONDA KUKAMATWA NI HIZI HAPA!

Tamko La Waislamu Kulaani Uchokonozi Wa Kidini

Sheikh kutoka Jumuiya na Taasisi za kiislamu Tanzania Ponda Issa Ponda (katikati) akitoa tamko mbele ya vyombo vya habari kuhusiana na kile walichokiita kadhia iliyotokea tarehe 10.10.2012 ya kunajisiwa kwa kitabu kitufu cha Qur’ani. Kushoto ni Imamu Mkuu wa Masjid Al-Amin Sheikh Ibrahimu Ghulaam na kulia ni Kiongozi wa Jumuia na taasisi na A-mallid Rajab Kitimba.
Taasisi na Jumuiya za Kiislamu nchini Tanzania wametoa tamko kufuatia kitendo cha kijana Emmanuel Josefati (14) kukojelea kitabu kitukufu cha Qur’an na kusababisha mgongano wa mawazo miongoni mwa watanzania.
Katika tamko lao wamesema ‘Tunalaani Kitendo cha kukojolewa Qur’an Tukufu ambayo ni Kitabu Kitakatifu kwa Waislam Wote Duniani’.
‘Tunataka kusikia tamko la serikali la kulaani kitendo cha kukojolewa Qur’an’.
‘Tunataka serikali kukemea kitendo cha Jeshi la Polisi kushambulia Misikiti, waumini na Kuvuruga ibada’.
‘Tunalaani vitendo vya uchokozi wa kidini’.
‘Tunalaani matumizi ya matumizi ya nguvu kubwa dhidi ya raia yaliyofanywa na Polisi’.
‘Tumehuzunishwa sana na kitendo na kitendo cha kushambuliwa Misikiti na Makanisa kilichotokea Mbagala’.
‘Tunatoa siku 7 ndani ya siku hizi Waislamu wanaoshikiliwa na Polisi wapewe haki yao ya dhamana’.
——
Picha na Taarifa kwa hisani ya MoBlog

1 comment :

  1. Ndugu ponda mwogope mwenyenzi mungu
    hadahara imeshakugundua huna nia nzuri na uislam wala watanzania. na tuna wasiwasi na uraia wako.

    kwa kuwa juhudi zako za kumwondoa Mufti madarakani zimekwama sasa unataka kutumia umafia wa machafuko nchini.

    Tangu lini mkristo wa nvhi hii wakristo wasivyopenda uchokozi wafikie hatua ya kukojolea kitabu kinachosemekana kurani.
    Kwanini mnapenda sana kumdhalilisha mwenyenzi mungu kama mtu dhaifuuuu sana asiweza kujitetea.

    Hivihamjiulizi tu ndugu ponda. kati ya huyomtomto anyeitwa wa kikristo na huyo wa kiislam nani kamwanza mwenzie.
    ooh ukikojolea juzuu hii utakua nyoka na huwezi jua walianzia wapi.
    maana kweli kama mtoo anatoka madrasa basi kafundishwa na wmalimu wake akachokoze mtu ili akipigwa aliyempiga aonekane mbaya
    suala la watoto lingerekebishwa na wazazi lakini imekuwa issue kuubwa na kuwatia wenzenu hasara.
    Utafiti ulio wazi ni huu kwamba
    wala si watoto hawa bali kwakua nia ni kulazimisha mambo ndo mtotokatumwa mwambie mtoto wa kikiristo akojolee juuzuu ili tuwatie hasara na tulazimishe mambo yetu yapite
    ohnaskini
    Muft hata ngoka sas nyie mnao taka madaraka ya kutuketea boko haram hapa mtajiletea laana na watoto wenu na vitukuu vyenu
    na pepopni hamtaiona zaidi ya jehanum.

    Kule mto wa mbu
    uzushi tu oh mkristo kakakshifu dini yetu
    mara kanisa , shule na hata kummua mtumishi wa mungu makatimizaadhma yenu
    kule arusha sombetini mchng mmoja kamwombea mamam mmoja na yule mama akaponywa mapepeo yake akatoa hirizi

    matokea yake watuzaidiya 300 wameandaman nakumpiga mchg hadi kumtoa meno kisa eti kachoma kurani mama mwenye kuombea akijitahidikuleza jamani mies kurani hii hapa mchungaji alichoma hirizi haikusikilizwa . n.k
    Hivi kweli ikulu inashindwa kusimamia hali hii kwa kuwaogopa kina ponda

    ingekuamimi hata kama nina cheo cha jisi gani na waliofanya ni watu wa imani yangu
    ningetoa haki sawa kama mfalme suleima alivyowamua wale makahaba wawili waliogombea mtoto.

    waislamu
    tumwogpe ponda atatuponda, atauponda uislam
    hata mtume s.w. aliwaheshimu sana watu wenye dini nyingine

    ponda mrudie mola na kundi lako

    vingine ghadhabu ya mungu hutaikwepa

    ReplyDelete