SHEIKH PONDA AKAMATWA
Sheikh Ponda Issa Ponda addresses Muslims gathered in Dar es Salaam last month
to protest the film "Innocence of Muslims". [Deodatus Balile/Sabahi]
Yule mwanaharakati maarufu wa dini ya kiislamu sheikh ponda issa ponda amekamatwa na polisi usiku huu akiwa katika msikiti wa temeke tungi.
Inasemekana alikuwa akifuatiwa tokea siku 3 nyuma ili apatikanwe kwenye mazingira ya usalama.
Chanzo: Jamii Forums
No comments :
Post a Comment