Wananchi kutoka sehemu mbalimbali wakiwa wamekusanyika kwa
ajili ya kufanya Maandamano ya Kuadhimisha Siku ya Ukimwi
Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 huko
Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.
Waziri wa Afya Juma Duni Haji akitoa Hotuba katika
Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika
kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 huko katika Mkoa wa
Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.kulia yake
ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pembe Juma Khamis
na kushoto yake ni Mwenyekiti wa Tume ya Ukimwi
Zanzibar Prof,Saleh Idris Muhammed
Wananchi mbalimbali waliohudhurika katika Maadhimisho ya Siku ya
Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 .
wakisoma majarida ya Ukimwi yaliotolewa kwa ajili ya kijifunza
masuala ya Ukimwi.huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini
Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
CHANZO: MJENGWA
No comments :
Post a Comment