Published on Dec 13, 2012
Mwanajeshi mstaafu Samwel Haule wa eneo la Amboni mafuriko jijini Tanga anadaiwa kumuua mtoto mlemavu wa viungo mwenye umri wa miaka 17 Risala Ally kwa kumkata kwa kisu sehemu za tumboni na kusababisha utumbo kumwagika hatua iliyoharakisha kifo chake muda mchache baada ya kufikishwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tanga Bombo.
No comments :
Post a Comment