Wanawake wafagia barabara wakifanya kazi yao kwenye mazingira magumu ya kutokuwa na vifaa vizuri na salama, wakati walipokutwa katika makutano ya barabara ya Mandela na Uhuru eneo la Buguruni jijini Dar es Salaam jana. (Picha: Khalfan Said)
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment