Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa), Allan Kijazi, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Tanapa, Pascal Shelutete.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment