Mdhamini wa Hafla ya Utoaji zawadi Mwalimu Yussuf Shoka Hamad (Katikakati) akifuatilia kwa makini hafla ya utoaji zawadi
Wanafunzi waliofaulu mchepuo mwaka 2013 Shule ya Mtemani wakifuatilia jambo
Kamati ya skuli ya Mtemani wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi waliofaulu darasa la saba 2013-14
Mwanafunzi Zakia Ali Hassan akipokea zawadi kutoka kwa Mgeni Rasmi Bwana Mohammed Nassor Salim
Mwanafunzi Abubakar Mohammed Bakar akipokea zawadi
Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Mtemani Bi Wahida Saleh Hamad akipongezwa na mdhamini wa hafla Bwana Yussuf Shoka.
I visited several web pages however the audio quality
ReplyDeletefor audio songs existing at this website is truly fabulous.