Mh. Rais akisisitiza jambo katika mkutano huo uliofanyika Rutgers New Brunswick New Jersey, Chuo cha Rutgers kinamahusiano na chuo kikuu cha Dodoma na mkutano huo uliandaliwa na Rutgers' Centers for Global Advancement and International Affairs (GAIA Centers)
and the Center for African Studies (CAS). Na walimwalika Mh. Rais Kikwete shuleni hapo. Watanzania wa N J, N Y na PA walipata nafasi ya kuudhulia mkutano huo na kupata ukodak na Mh. Rais Jakaya Kikwete.
Mh. Rais akisalimiana na Watanzania kabla kuingia ukumbini
Mke wa Mkuu wa Wilaya ya Springfield Bwana Isaac Kibodya akisalimiana na Rais kabla kuingia ukumbini.
Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Balozi Ramadhan Mwinyi Muombwa alikuwepo pia.
Viongozi wa NYTC, Dr Temba, Mariam na Chiume walikuwepo pia kwenye mkutano huo. Kwa picha zaidi nenda soma zaidi.
Kwa Picha zaidi tembelea. www.tembaphoto.com
No comments :
Post a Comment