dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, September 9, 2014

WE CONTINUE TO ASK: WHITHER ARE WE BOUND IN DMV???

FUJO ZILIZOLETWA KWENYE MKUTANO MKUU DMV

Habari zilizosambaa  ni kwamba  Wanajumuiya wanapinga kitendo kibaya kilichotokea kutokana na Wanajumiya watano walioleta fujo kwenye mkutano na kuhatarisha usalama wa Watanzania: Wana Jumuiya Hao wakiongozwa na Liberatus Mwangombe walikuwa ni Dotto Malongo, Salomon Chris, Salma Moshi na Ludego Muhagama. Mapendekezo kadhaa yalipendekezwa na Wanachama ikiwemo na Kuwasimimisha au kuwaonda uwanachama hawa waliohusika na kitendo hichi cha Aibu.

    Pamoja na kufaili Case ya Kuishitaka Jumuiya inaonekana Liberatus Mwangome hataki kusubiri Mahakama ifuate mkondo wake. 

   Watu hawa watano tu(5) wanajumuiya walikuja kwenye mkutano na kufanya fujo kwa sababu zao binafsi na ililazimika kutumia vyombo vya dola (polisi) Kuwaondoa kwenye Mkutano huo. Uongozi ulisema hautovumilia kumchukulia hatua ya kisheria mtu yeyote ya yeyote atakayehatarisha usalama wa Wanajumuiya kwenye kikao chochote au shughuli zozote za jumuiya na Uongozi uliwashukuru Wanajumuiya kuonyesha moyo wa Uzalendo na kukemea tabia hii katika Jumuiya yetu.
Uongozi Mpya na Baadhi ya watanzania walioudhuria
Liberatus Mwangombe Akibishana na Bodi Memba


Polisi Wakiwafukuza Waliofanya fujo kuondoka kwenye eneo Hilo




No comments :

Post a Comment