Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, October 30, 2014

Balozi wa Palestina, EU na wa Rwanda Watembelea Wizara ya Katiba na Sheria

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro akipokea kutoka kwa Balozi wa Palestina nchini Dkt. Nasri Abu Jaish ambaye amemtembelea Waziri ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro akiongea na Balozi wa Palestina nchini Dkt. Nasri Abu Jaish ambaye amemtembelea Waziri ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki akiongea na Naibu Balozi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) nchini Mhe. Luana Reale aliyemtembelea Naibu Waziri ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki akiongea na Balozi wa Rwanda nchini Mhe. Eugene Segore Kayihura aliyemtembelea Naibu Waziri ofisini kwake jijini Dar es Salaam ili kubadilishana mawazo.(Picha na Wizara ya Katiba na Sheria Dar)

No comments :

Post a Comment