Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, March 10, 2015

SOKOMOKO CHADEMA: Zitto Kabwe avuliwa rasmi uanachama Chadema. Huenda akajiunga na CCM au CUF kama atapewa nafasi ya kugombea Urais 2015!!!!

Zitto Kabwe avuliwa rasmi uanachama Chadema
Kwanza soma: http://zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2015/03/chadema-yambwaga-zitto-kabwe-mahakamani.html
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akifurahia jambo na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu walipokuwa kwenye kikao cha Bunge hivi karibuni ribuni. Picha na Mkataba
KWA UFUPI
Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe.
Baada ya Mahakama Kuu Tanzania kanda ya Dar es Salaam leo kutupilia mbali kesi iliyokuwa imefunguliwa na Zito Kabwe dhidi ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) ya kuhoji uhalali wa uanachama wake ndani ya chama hicho…
Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe.
Akitangaza hatua hiyo ya kumvua uanachama,Lissu amesema kanuni na sharia za chama hicho ziko wazi na zinaelekeza kuwa endapo mwanachama yeyote atakishtaki chama hicho mahakamani na iwapo atashindwa atakuwa amejiondoa mwenyewe kwenye chama.

No comments :

Post a Comment