zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, July 17, 2015

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM Mh John Magufuli awasili Zanzibar kujitambulisha

 Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM John P, Magufuli akipeana mikono na Baadhi ya Viongozi wa Chama hicho mara baaada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.



 Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM John P, Magufuli akipeana mikono na Mwakilishi wa Uzini Mohd Raza baada ya kuwasili  Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.

 Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM John P, Magufuli wa mwanzo kulia akijibu maswali mbalimbali alioulizwa na waandishi wa Habari alipokutana nao katika Uwanja wa ndege wa Zanzibar.




 Mwandishi mwandamizi wa ITV Farouk Karim akiuliza maswali kwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM John P, Magufuli baada ya kuwasili katika  Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.




 Baadhi ya wanachama wa CCM wakiwa wamesimama njiani ili kumpokea Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM John P, Magufuli aliewasili zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha.




 Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM John P, Magufuli kulia akiwa na mgombea mwenza wake Samia Suluhu Hassan wakiwapungia mkono wananchi pamoja na Wanachama wa CCM waliofurika barabarani kuwapokea Zanzibar






Umati wa watu waliokuja kumpokea Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM John P, Magufuli pamoja  na mgombea mwenza wake Samia Suluhu Hassan wakipita katika barabara ya Michenzani kuelekea Ofis kuu ya CCM kisiwandui Zanzibar.
 Mgombea Urais wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli akiwa na Mgombea mwenza Mhe,Samia Suluhu Hassan wakiwapungia mikono wananchi na wanaCCM waliojipanga barabarani wakati wa mapokezi walipofika Zanzibar kutambulishwa rasmi leo,Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Mgombea Urais wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli akifuatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (katikati) pamoja na Mgombea Mwenza  Samia Suluhu Hassan (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Borafya Silima Juma baada ya wagombea hao kuvalishwa Skafu na Vijana Chikpukizi walipofika katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja palipofanyika Mkutano wa kutambulishwa rasmi kwa Wananchi leo,[Picha na Ikulu.]
 Mgombea Urais wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli akiwa na Mgombea mwenza Mhe,Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wazee wa CCM mara walipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja wakatti wa  Mkutano wa kutambulishwa rasmi kwa Wananchi leo,[Picha na Ikulu.]

  Mgombea Urais wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli akiwa na Mgombea mwenza Mhe,Samia Suluhu Hassan (kushoto) wakiwa Makamo wa Pili wa Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Borafya Silima Juma (kulia) kwa pamoja wakimuombea dua Marehemu Mzee Abeid Amani Karume katika Kaburi lake Ofisi ya CCM Kisiwandui leo kabla ya kutambulishwa kwa Wananchi wa Zanzibar baada ya uteuzi wao uliofanyika Dodoma hivi karibuni,[Picha na Ikulu.]
 Mgombea Urais wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli (CCM) akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipowasili viwanja vya CCM Kisiwandui katika mkutano wa kutambulishwa rasmi akiwa na mgombea mwenza Mhe,Samia Suluhu Hassan leo,[Picha na Ikulu.]

 Mgombea Urais wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli (CCM) akiwapungia Mkono wananchimara alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo katika mkutano rasmi wa kutambulishwa baada ya uteuzi wa nafasi hiyo uliofanyika Dodoma hivi karibuni, [Picha na Ikulu.]
 Wananchi na wanaCCM wa Mkoa wa Mjini waliofika katika mkutano wa kutambulishwa Mgombea Urais wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na Mgombea mwenza Mhe,Samia Suluhu Hassan wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mgombea  huyo wakati alipozungumza nao leo katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Mgombea Urais wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli  alipozungumza na Wananchi na wanachama wa CCM Mkoawa Mjini leo katika mkutano wa kutambulishwa uliofanyika  leo katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mgombea mwenza wa Urais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan(kulia) 
Mgombea Urais wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (wa pili kushoto) baada ya kumalizika kwa mkutano wa utambulisho   kwa Wananchi uliofanyika leo katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,(kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Borafya Silima Juma    [Picha na Ikulu.]

No comments :

Post a Comment