MSIKITI mpya wa kijiji cha Mtega shehia ya Wawi wilaya ya Chake chake Pemba, ambao umejengwa na taasisi ya Afrika Muslim Agency na kufunguliwa na mkurugenzi wa taasisi hiyo, sheikh Ammar Anwar Tawfiq, (Picha na Haji Nassor, Pemba)
BAADHI ya waumini wa dini ya kislamu wa kijiji cha Mtega Wawi wilaya ya Chake chake Pemba, wakimsikiliza aliekuwa Katibu wa ofisi ya Mufti Pemba, sheikh Ali Abdalla Amani, wakati akiwaadhi mara badaa ya ufunguzi wa msikiti mpya wa kijiji hicho, uliojengwa na taasisi ya Arika Muslim Agency, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MKURUGENZI mkaazi wa taasisi ya Afrika Muslim Agency sheikh Aammar Anwar Tawfiq, akiwaaidhi waumini wa dini ya kislamu wa kijiji cha Mtega shehia ya Wawi wilaya ya Chake chake Pemba, kwenye ufunguzi wa msikiti mpya wa kijiji hicho, uliojengwa na taasisi yake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
KATIBU mstaafu wa ofisi ya Mufti kisiwani Pemba, sheikh Ali Abdalla Amani, akiwaaidhi waumini wa dini ya kislamu wa kijiji cha Mtega, shehia ya Wawi wilaya ya Chake chake Pemba, mara baada ya kufunguliwa kwa msikiti wao uliojengwa na Afrika Muslim Agency, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments :
Post a Comment