Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi (watatu kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa gazeti la Nipashe lenye muonekano mpya uliofanyika Kinondoni, jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni Mkurugenzi Mtendaji wa The Guardian Ltd, Richard Mgamba (wapili kushoto), Mhariri Mtendaji wa Nipashe, Jesse Kwayu (kulia) na Meneja Huduma kwa Wateja wa gazeti hilo, Samira Omar. PICHA: MPIGAPICHA WETU
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment