Kaimu Mkurugenzi Masoko wa Benki ya Watu Zanzibar Ndg Seif Suleiman, akimkabidhi mashine ya Foto Kopi Kaimu Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Ndg.Salum Rashid Salum.kwa ajili ya matumizi ya Skuli hiyo makabidhiano hayo yamefanyika katika Afisi za PBZ darajani Zanzibar
Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Seif Suleiman akimkabidhi Toner Kaimu Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Zanzibar Ndg Salum Rashid Salum, makabidhiano hayo yamefanyika Afisi za PBZ Darajanin Zanzibar.
No comments :
Post a Comment