Katika mikutano yake ya Pemba na Unguja ya tarehe 3 October, 2015, Mhe Lowassa ameyamaliza matatizo sugu ya Zanzibar kwa dakika moja tu, pale alipoahidi kuwa atawaachia masheikh wa Zanzibar mara moja akishinda uchaguzi na kuwa ataitizama upya Katiba Inayopendekezwa na kuleta serikali tatu kwa faida ya watu wote.
http://zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2015/10/mkutano-wa-lowassa-kisiwani-pemba.html
No comments :
Post a Comment