Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, October 18, 2015

Mikutano wa Kampeni za CCM jimbo la Mpendae!

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Borafya Silima Juma akiwasalimia Wanachi na wanaCCM wa Jimbo la Mpendae katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa Binti Amrani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja akiwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
 Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa Binti Amrani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
  Mamia ya Wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati akizungumza nao katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM wa Jimbo la Mpendae  uliofanyika leo katika uwanja wa Binti Amran  Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipokuwa akimkaribisha Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ili awasalimie Wanachi na wanaCCM wa Jimbo la Mpendae katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa Binti Amrani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume akiwapa nasaha wanaCCM na Wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa Binti Amrani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kukichagua Chama cha Mapinduzi kwani ndio chama cha ukweli sio kubabaisha na kudanganya watu,[Picha na Ikulu.]
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Khadija Aboud Talib akitoa sera za Chama cha Mapinduzi kwa wananchi na WanaCCM wa Jimbo la Mpendae wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa Binti Amrani Mkoa wa Mjini Magharibi, [Picha na Ikulu.]

  Mamia ya Wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati akizungumza nao katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM wa Jimbo la Mpendae  uliofanyika leo katika uwanja wa Binti Amran  Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanaCCM na Wananchi wa Jimbo la Mpendae  katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa Binti Amran  Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja,[Picha na Ikulu.]

No comments :

Post a Comment