Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, October 4, 2015

Mkutano wa kampeni za CCM uwanja wa Kiungoni, Kojani Pemba.

 Vijana waliojitoa katika Chama cha CUF na kuingia CCM wakinyoosha mikono juu kuonesha ishara ya kuunga mkono chama cha Mapinduzi kwa uwezo wake wa kuelezea sera zake kwa Wanachama katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Kiungoni jimbo la Kojani Wilaya ya Wete Pemba leo,yake mbali mbali inayofanyika Unguja na Pemba, [PIcha na Ikulu.]
 Wananchi wa Kojani wakiteremka katika lori wakati walipoingia katika uwanja wa Mpira Kiungoni Jimbo la Kojani Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba palipofanyika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM leo,[Picha na Ikulu.]
 Wapenzi na wakereketwa wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika  Mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika jimbo la Kojani kijiji cha Kiungoni Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba  ikiwa ni mfululizo wa kampeni za CCM zinazoendelea,Picha na Ikulu.]
 Baadhi ya Viongozi walioungana na mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM wakiwa katika uwanja wa Mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika jimbo la Kojani kijiji cha Kiungoni Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba  ikiwa ni mfululizo wa kampeni za CCM zinazoendelea,Picha na Ikulu.]
  Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa NEC Balozi Ali Abeid Amani Karume allipokuwa akizungumza na wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kojani Wilaya ya wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika kijiji cha Kiungoni  wakati wa  mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo uwanja wa Mpira Kijijini hapo, mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,{Picha na Ikulu.]
 Aliyekuwa Balozi Jumuiya ya Nchi za Afrika Nchini Marekeni Bi. Amina Salum Ali alipokuwa akizungumza na wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kojani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,wakati alipokuwa akiwaombea Kura wagombea nafasi mbali mbali wa CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo uwanja wa Mpira Kijiji cha Kiungoni,{Picha na Ikulu.]


 Baadhi ya wanachama wa CCM,Wananchi wapenda amani waliohudhuria katika  mkutano wa hadhara uliofanyika leo uwanja wa Mpira Kijiji cha Kiungoni Jimbo la Kojani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  wakati alipozungumza nao leo ,{Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nawanachama wa CCM,Wananchi wapenda amani waliohudhuria katika  mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM za kuombe kura wagombea nafazi za Uongozi katika Chama hicho,uliofanyika leo uwanja wa Mpira Kijiji cha Kiungoni Jimbo la Kojani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,{Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nawanachama wa CCM,Wananchi wapenda amani waliohudhuria katika  mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM za kuombe kura wagombea nafazi za Uongozi katika Chama hicho,uliofanyika leo uwanja wa Mpira Kijiji cha Kiungoni Jimbo la Kojani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,[Picha na Ikulu.]

/ZanziNews.

No comments :

Post a Comment