Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, December 13, 2015

Dkt, Magufuli Awaapisha Mawaziri jana Ikulu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli katikati, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Kulia na Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim kushoto, wakiwa katika mpicha ya pamoja na Mawaziri na Manaibu Mawaziri mara baada ya kuapishwa Mawaziri hao leo Disemba 12, 2015 Ikulu Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli katikati, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Kulia na Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim kushoto, wakiwa katika mpicha ya pamoja na Mawaziri na Manaibu Mawaziri mara baada ya kuapishwa Mawaziri hao leo.Ikulu Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meky Sadik walipokutana kwenye hafla ya kuapishwa Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Dar es salaam leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kumpongeza  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Utumishi na Utawala Bora  Mhe.  George Simbachawene  baada ya  hafla ya kuapishwa Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Dar es salaam leo 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Januari Yussuf Makamba akipitia mafaili alipowasili Ofisini kwake mtaa wa Luthuli Dar es salaam muda mfupi baada ya kuapishwa na Rais Mhe. John Pombe Magufuli Ikulu Dar es salaam leo
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga J Mpina akipitia mafaili alipowasili Ofisini kwake mtaa wa Luthuli Dar es salaam muda mfupi baada ya kuapishwa Ikulu Dar es salaam leo Disemba 12, 2015.( Picha na OMR)

No comments :

Post a Comment