Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, February 18, 2017

Adama Barrow aidhinishwa leo kuwa rais wa Gambia!

Gambia celebrates Barrow’s inauguration


Adama Barrow ameidhinishwa rasmi kuwa rais wa taifa la Gambia.

Alikula kiapo mbele ya umati mkubwa wa watu uliojaa katika uwanja wa mji mkuu wa Banjul.

Mtangulizi wake Yahya Jammeh aliwachia mamlaka mnamo mwezi Januari baada ya kupoteza uchaguzi mbali na kutishiwa kwamba angeondolewa mamlakani kwa nguvu.

Rais aliyeng'atuliwa mamlakani na Jammeh miaka 23 iliopita Dawda Jawara ambaye ana umri wa miaka 92 alialikwa katika hafla hiyo.

Rais Barrow alikula kiapo kwa mara ya kwanza mwezi uliopita katika sherehe iliofanywa nchini Senegal akihofia maisha yake.

No comments :

Post a Comment