DAR: Askofu Gwajima na Idd Azzan wapelekwa Kituo Kikuu cha Polisi kutoka Mahakama ya Kisutu. Ilikuwa wapandishwe kizimbani leo.
Mpaka sasa haijajulikani wamepelekwa huko kwa kusudio gani.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment