Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimkaribisha Mbunge wa Jimbo la Ileje mkoani Songwe, Janeth Mbene, ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo ya Jimbo lake la Ileje.
Mbunge wa Jimbo la Ileje mkoani Songwe, Janeth Mbene (kushoto) akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, wakati Mbunge huyo alipomtembelea Naibu Waziri huyo ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo katika Jimbo lake la Ileje
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Ileje, mkoani Songwe Janeth Mbene, wakati Mbunge huyo alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo ya Jimbo lake la Ileje. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments :
Post a Comment